NA SAADA AKIDA Abdallah Kibadeni WAKATI ratiba ya Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza rasmi Agosti 24, mwaka huu ikion...
Kocha Kagera hana presha na ligi
NA SAADA AKIDA KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mganda Jackson Mayanja amesema hana presha na Ligi Kuu Tanzania Bara, hasa baada ya kupangiw...
Shusho amsindikiza Kabula Agosti 4
OLIPA ASSA NYOTA wa muziki wa Injili Tanzania, Kabula George, anatarajiwa kupanda jukwaani jijini Mbeya kwenye muendelezo wa matamasha ya...
Zakia Mrisho ajiondoa mbio za Moscow
NA NYEMO MALECELA MWANARIADHA maarufu nchini, Zakia Mrisho amejiondoa kwenye orodha ya wanariadha watakaoshiriki kwenye michuano ya Duni...
Tisa Polisi Moro watua SADEC
NA NYEMO MALECELA TIMU ya Polisi Moro iliyoshuka daraja msimu uliopita, imetoa wachezaji tisa watakaounda timu ya kijeshi itakayoshiriki ...
DAAA yataka vipaji vipya
NA ZAINAB IDDY CHAMA cha Riadha Mkoa wa Dar es Salaam (DAAA), kimewataka wazazi na walimu wa shule za msingi na sekondari kutoa nafasi kw...
Rhino, Mbeya City, Ashanti, kazeni buti
RATIBA ya michuano ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyotolewa juzi, inaonyesha timu zilizopanda daraja msimu huu, Ashanti United ya jijini Dar e...